Akiwa nchini Nigeria @officialalikiba akicheza ngoma za wasanii mbalimbali wa Kitanzania ameisifia ngoma ya @harmonize_tz #Happybirthday na kusema kuwa anaipenda sana ngoma hiyo. Video... Read more »
Miongoni mwa wasanii ambao @officialalikiba huwa anawakibali sana ni @rayvanny na ndio maana unaona @officialalikiba anaimba ngoma ya @rayvanny #kwetu kwa hisia. Video nzima ya @officialalikiba akicheza ngoma za... Read more »
Msanii @officialalikiba akiwa nchini Nigeria wakati yupo jikoni anakarangiza mapochopocho alikuwa alisikiliza nyimbo za wasanii mbalimbali na hapa alikuwa akiisikiliza na kucheza... Read more »
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva leo ameonekana akicheza ngoma mbalimbali zikiwemo za @diamondplatnumz @k2ga_tz @officialabdukibaa @tommyflavour @officialnandy na wengine @officialalikiba wakati yupo live mashabiki walikuwa... Read more »