MATUKIO KATIKA PICHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Philip Mpango akikata utepe kuzindua andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya...

SEKTA YA UJENZI YAADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA MAZINGIRA DODOMA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Emmanuel Raphael, akizungumza na waandishi wa habari katika banda la Sekta hiyo kwenye maonesho ya kilele cha Wiki ya Mazingira yaliyofanyika Jijini...