SOSEJI

   Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara wakiangalia soseji zinazo zalishwa na kiwanda cha ORI kilichopo eneo la TIRDO, Msasani, Dar es Salaam. 

BARABARA YA SANZATE – MAKUTANO KUKAMILIKA OKTOBA

  Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Mwita Waitara, amesema kuwa ujenzi kwa kiwango cha lami sehemu ya barabara ya Makutano – Sanzate (Km 50) unatarajiwa kukamilika mwezi Oktoba mwaka huu mara baada ya kupatiwa ufumbuzi changamoto zilizokuwa...