Rais Samia amteua CEO NMB kuchakata Haki za Wanawake Kiuchumi

  RAIS wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, kuwa mmoja wa wanawake watakaoshiriki mchakato wa kujadili na kupatia ufumbuzi Haki za Wanawake Kiuchumi.Rais Samia ameyasema hayo...

Ruvuma kupanda miti ya biashara hekta 40,000

 MKOA wa Ruvuma umelenga kupanda miti ya biashara hekta 40,000 hadi kufikia mwaka 2025.Mshauri wa Maliasili Mkoa wa Ruvuma Afrikanus Challe amesema mradi huo unatekelezwa katika kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2015 na kwamba unatekelezwa kwa kupanda miti...

IGP SIRRO: SILAHA NA WATUHUMIWA WAMEKAMATWA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema kufuatia Operesheni ya wiki moja iliyofanyika katika Jiji la Dar es salaam, wamefanikiwa kukamata silaha za moto pamoja na wahalifu waliokuwa wakijihusisha katika matukio mbalimbali ya kihalifu. IGP Sirro amesema...

MADAKTARI NA WAUGUZI SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO

 Na Mwandishi wetu, SimanjiroMADAKTARI na wauguzi 48 wa Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wamejengewa uwezo zaidi katika kutoa huduma kwa wagonjwa wenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).Mratibu wa mradi wa USAID...