REA YABAINISHA MIKAKATI KUONGEZA UPATIKANAJI NISHATI VIJIJINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka akizungumza wakati wa semina iliyoratibiwa na Wizara ya Nishati ili kuwajengea uelewa kuhusu sekta ndogo ya umeme Wajumbe wa Kamati hiyo Juni 10, 2021 jijini Dodoma. Kushoto ni...