Zuchu Amvuta Shati Kiba

MUZIKI wa sasa ni ushindani. Unaambiwa licha ya AliKiba kutangulia kuachia ngoma yake ya Ndombolo, mrembo kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Zuchu ameibuka na kuachia ngoma yake iitwayo Nyumba Ndogo ambayo inaonekana kumkaba koo mkongwe huyo.Awali, Kiba ndiye...

DKT. NCHEMBA ATOA UFAFANUZI WA TOZO ALIZOWASILISHA BUNGENI

Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko...