FAHAMU SIFA KUU ZA SIMU HIZI MBILI

*N sifa za Infinix NOTE 10 PRO NA SAMSUNG GALAX A51)Infinix tangu kutambulishwa Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka 2018 imekuwa na ushindani mkubwa sana na makampuni mengine ya simu kama Samsung. Infinix na Samsung wamejikuta katika ushindani mkubwa hasa kwenye simu...

MSUYA AIPIGA TAFU CHANEDA KUELEKEA ‘KAZI IENDELEE CUP 2021’

 MRATIBU wa michezo kwa watoto mashuleni David Msuya amemkabidhi katibu mkuu wa Chama cha Netball Mkoa wa Dar es Salaam (CHANEDA,) Joseph Stanslaus Ng’anza kiasi cha shilingi laki nne kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya ‘Kazi Iendelee Cup...

Watumishi wa Umma zingatieni Kanuni za Utumishi wa Umma

   Adeladius Makwega, WHUSM-Dodoma  Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa watumishi wa umma kama watazingatia kanuni za utumishi wa umma basi utumishi wa umma utafanyika kwa kiwango cha juu katika kuwapa huduma Watanzania katika...