Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la Shirikisho

TIMU ya Wananchi Yanga Imefanikiwa kutinga Hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuitungua Biashara United kwa bao 1-0, kwenye mchezo uliochezwa Leo Juni 25, kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Bao pekee la...

Afrika yakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Covid-19

Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya corona, wakati hospitali zikiendelea kuwapokea wagonjwa na vifo vikishuhudiwa, hali ambayo imechangia vituo vya afya kuzidiwa, huku bara hilo likiwa nyuma katika kampeni ya chanjo ya ulimwengu. Janga la...