SBL yamwaga sh. Bilioni 2 kwa mabaa kupambana na Corona

 Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imetangaza mpango maalum wa kuyasaidia mabaa kupambana na magonjwa ya kuambikiza ukiwamo ugonjwa wa Corona wenye thamani ya shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kulinda afya za wateja pamoja na wahudumuMsaada huu wa SBL unakuja...

Majaliwa: Wizara Kilimo Simamieni Kilimo Cha Ngano Na Zabibu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo isimamie upatikanaji wa mbegu bora katika kilimo cha ngano na zabibu pamoja na kuweka mpango mzuri utakaosimamia na kuendeleza kilimo cha mazao hayo . “…Utoaji wa vibali kwa wanunuzi wa ngano na mchuzi wa...

Majaliwa: Tumepunguza Siku Za Kushughulikia Maombi Ya Vibali

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema utaratibu wa utoaji wa vibali vya ukaazi kwa kutumia mfumo wa kielektroniki umesaidia kupunguza hatua za kuchakata maombi kutoka siku 33 za hadi saba.Amesema kuwa kwa sasa waombaji hawalazimiki kwenda katika Ofisi za Kazi kwa sababu...