Mwanri ateuliwa kuwa balozi wa pamba nchini

Na Derick Milton, Busega Bodi ya Pamba nchini imemtangaza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, kuwa Balozi wa pamba nchini ambapo kazi yake kubwa itakuwa ni kuhamasisha wakulima wa zao hilo kuzalisha kwa tija. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa...