VIDEO: NYOTA WAWILI KUMPISHA MAKAMBO YANGA

VIDEO: NYOTA WAWILI KUMPISHA MAKAMBO YANGA

IMEELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga Heritier Makambo anaweza kuibukia ndani ya Yanga baada ya kuibuka ndani ya Klabu ya Horoya msimu wa 2019. Inatajwa kuwa nyota wawili wataachwa katika kikosi cha Yanga ambao ni Michael Sarpong na Fiston Abdulazack kumpisha...
CHELSEA YAMKOMALIA HAALAND,KUMTOA WERNER

CHELSEA YAMKOMALIA HAALAND,KUMTOA WERNER

 IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Chelsea huenda ikamtoa nyota wake Timo Werner kwa ajili ya kumpata Erling Haaland.Werner aliibuka ndani ya Chelsea msimu uliopita kwa kandarasi ya miaka minne akitokea Klabu ya RB Leipzing kwa dau la pauni 45.5 milioni.Mambo yake...