Tanzia: Babu wa Loliondo Afariki Dunia

Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya DigodigoBabu wa Loliondo inadaiwa aliugua muda mrefu na akawa akijitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali leo saa sita alikuwa amechelewa, akafariki saa naneBabu wa...

Tanzania yatwaa ubingwa wa Challenge Cup

Timu ya Taifa ya Tanzania Vijana wenye umri chini ya miaka 23 wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA Challenge CUP kwa kuifunga timu ya taifa ya Burundi kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mechi hiyo kuisha kwa 0-0 ndani ya dakika 90.Fainali hiyo ambayo...

SPURS YASAJILI KIUNGO WA HISPANIA

KLABU ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wake wa kwanaa kwa kumnyakua Bryan Gil kutoka Sevilla kwa ada ya Pauni Milioni 22.Pamoja na dau hilo, Spurs imemtoa nyota wake, Erik Lamela kwenda upande wa pili.Gil ni mchezaji wa pili kusajiliwa Spurs dirisha hili...