ARSENAL YAMSAJILI BEN WHITE KWA ADA YA PAUNI MILIONI 50

 KLABU ya Arsenal imemtambulisha beki wa kati Ben White kutoka Brighton aliyesaini mkataba wa miaka mitano kwa ada ya Pauni Milioni 50.Beki huyo mwenye umri wa miaka 23 anatua The Gunners baada ya kufanya vizuri akiwa kwa mkopo Leeds msimu uliopita.Na huo unakuwa...

Tanzania yapokea ndege nyingine mpya Bombadier Q-400 (+Video)

Ndege mpya aina ya Bombadier Q-400 imewasili nchini Tanzania hii leo Julai 30, 2021. Hii ni ndege ya tisa kati ya 11 zilizonunuliwa na Serikali. Dondoo 1. Hii ni ndege ya 9 kati ya ndege 11 zilizonunuliwa na Serikali. 2. Hii ni ndege ya 5 aina ya Bombardier Dash 8...