Taasisi ya Fahari yasaidia bima za afya, vyakula kwa yatima

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Taasisi ya Fahari Tuamke Maendeleo iliyopo Mongolandege Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa misaada ya vyakula na kuwalipia bima ya afya watoto 50 wanaoishi katika mazingira magumu Mtaa wa Viwege katika Kata ya Majohe....

Kidato cha nne mabingwa wapya Benjamini Mkapa Sekondari

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Timu ya mpira wa miguu ya kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa imeibuka mabingwa baada ya kuwasambaratisha timu ya kidato cha sita katika fainali ya ligi ya shule iliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo....

Said Ndemla atambulishwa Mtibwa Sugar

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umemtambulisha rasmi nyota Said Ndemla kuwa mali yao kwa msimu mmoja.Ni usajili wa mkopo kwa mzawa huyo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Simba.Taarifa rasmi kutoka Mtibwa Sugar imeeleza kuwa nyota huyo ana hadhi ya juu kabisa na...

ZIC yadhamiria kuwaunga mkono Wanawake Wajasiriamali Mtwara

Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital SHIRIKA la Bima la Zanzibar (ZIC) limedhamiria kujitolea kudhamini Tamasha la Wajasiriamali Wanawake mkoani Mtwara linalotarajiwa kufanyika Septemba 19, mwaka huu mkoani humo. Akizungumza na Mtanzania Digital, Mkurugenzi wa...