Serikali Yatenga Trilioni 2.03 Kuzikwamua Kaya Zote Maskini Nchini

 Na. James K. Mwanamyoto-DodomaSerikali imetenga kiasi cha shilingi trilioni 2.03 kwa ajili ya kuzikwamua kaya zote maskini nchini kutoka katika lindi la umaskini ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Kipindi cha Pili cha Awamu...

ELIUD AMBOKILE AREJEA MBEYA CITY

MSHAMBULIAJI Eliud David Ambokile amerejea rasmi Mbeya City baada ya misimu mitatu ya kucheza soka nje.Ambokile aliondoka Mbeya City mwaka 2019 kwenda TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako baada ya msimu mmoja alihamia Nkana FC ya Zambia...

Wawekezaji wa nje waanza kumiminika Tanzania

Katika siku za hivi karibuni Serikali ya awamu ya sita imekuwa ikiweka nguvu kubwa kuvitia uwekezaji natakwimu zinaonyesha kuwa jitihada hizo zimezaa matunda kwa kuwa na idadi kubwa ya wawekezaji kutoka nje walioonyesha nia ya kuwekeza hapa nchini. Vipawa Management...