ALHAJ MUHIDDIN NDOLANGA AFARIKI DUNIA

6ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho, TFF, kuazia 1992 hadi 2004, Alhaj Muhiddin Ahmed Ndolanga amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ, Mikocheni, Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mke wa dereva aliyetekwa Zambia akaishia gerezani aeleza mkasa wote

Kuishi kwingi kuona mengi, ndivyo unavyoweza kusema juu ya mkasa uliompata dereva wa lori, Kennedy Mkonyi ambaye alitekwa Zambia Desemba 2020 na kuishia gerezani hadi hivi sasa akisubiri hatima ya kesi inayomkabili. Dereva huyo alikuwa amebeba madini ya shaba kutoka...

BIASHARA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO

 MABAO ya kiungo mkongwe, Ramadhani Suleiman Chombo ‘Redondo’ dakika ya 19 na 23 yameipa ushindi wa 2-0 Biashara United dhidi ya FC Dikhil ya Djibouti katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika usiku huu Uwanja wa Azam...

Burna Boy Aamua Kujipa Likizo Kutoa Album Afunguka Haya

August 12,2013, @burnaboygram aliachia Album yake ya kwanza aliyoipa jina la L.I.F.E ikiwa ni kifupi cha LEAVING AN IMPACT FOR ETERNITY iliyouuza zaidi ya nakala elfu 40 kwa siku yake ya kwanza toka iachiwe.Msanii huyo ambaye aliingia rasmi kwenye game ya muziki mwaka...

Picha Benki ya NMB yakabidhi vifaa kwa ajili ya NMB Marathon 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe (wa pili kulia), akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard kwa ajili ya NMB Marathon 2021 itakayofanyika Septemba 25 katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. Hafla...