10BET KUDHAMINI TIMU SITA AFRIKA

KAMPUNI ya kimataifa ya mchezo wa kubashiri, 10bet imezindua shughuli zake Afrika ikiwa pamoja na Tanzania.Hatua ya kampuni ya 10bet kuzindua shughuli zake Afrika imekuja ikiwa na lengo la kuendeleza mpira wa miguu  na mpaka sasa timu za nchi sita zitaanza...

Yanga Yapotea Nigeria..Meza Imewapindua Wao

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa, Yanga leo jitihada zao za kupindua meza kimataifa zimekwama nchini Nigeria.Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi wa zaidi ya bao 1-0 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikubali kupoteza kwa...

CHELSEA YAIPIGA SPURS 3-0 LONDON

 CHELSEA imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.Mabao ya The Blues leo yamefungwa na Thiago Silva dakika ya 49, N’Golo Kanté dakika ya 57 na Antonio...

MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM 2-1

 TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.Mshambuliaji Mualgeria, Mohamed Said Benrahma alianza kuifungia West Ham dakika ya 30, kabla ya Cristiano Ronaldo...

SIMBA YAPIGWA 1-0 NA MAZEMBE DAR

BAO pekee la Baleke Jean dakika ya 84 limetosha kuwapa TP Mazembe ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika tamasha la Simba Day leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.