Wananchi Kagera watakiwa kuondoa hofu chanjo ya corona

Na Renatha Kipaka, Bukoba WANANCHI mkoani Kagera wametakiwa kuondoa hofu juu ya chanjo ya Covid-19 inayoendelea kutolewa kote nchini ili kujiweka salama. Kauli hiyo imetolewa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Muhimbili Idara ya Afya ya Jamii, Profesa Deodatus Kakoko,...

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA AFRIKA KUENDELEZA UTALII

Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi Jumuiya za Umoja wa Afrika ili kuendeleza utalii kwa lengo la kukuza uchumi wa nchi wanachama.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) katika Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani 2021...

Ulimwengu azindua kitabu, atoa wito kwa vijana

Na Clara Matimo, Mwanza Mwandishi nguli wa habari na mdau wa haki za binadamu nchini, Jenerali Ulimwengu, amezindua kitabu chake kinachobeba dhima ya udadavuzi katika masuala mbalimbali ikiwemo siasa, utawala bora na  haki za binadamu huku akitoa wito kwa vijana...

Tasac yasisitiza uzingatiaji wa Sheria majini

Na Anna Ruhasha, Geita Wamiliki, watumiaji na wasimamizi wa vyombo vya majini wamekumbushwa kufuata sheria zilizowekwa wakati wa utumiaji wa vyombo hivyo hasa kutumia makoti yanayo akisi mwanga ili panapotokea ajari za majini iwe rahisi katika uokoaji. Wito huo ...