NDEJEMBI AFANIKISHA KUANZA KWA UJENZI WA SEKONDARI KATA YA ZAJILWA

Charles James, Michuzi TVNAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chamwino Mkoani Dodoma, Deo Ndejembi amefanikisha upatikanaji wa kiasi cha Sh Milioni 103 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa manne na matundu 10 ya vyoo kwa...