MKANDALA ATUMA UJUMBE HUU KWA SIMBA

MKANDALA ATUMA UJUMBE HUU KWA SIMBA

 NYOTA wa Dodoma Jiji, Cleophance Mkandala ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba ambao utakuwa ni wa mzunguko wa pili.Dodoma Jiji imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliochezwa Uwanja wa...