WIZARA YA UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO MSHINDI WA PILI DRAFTI SHIMIWI 2021

………………………………………………………………Na Eleuteri Mangi, Morogoro.Mchezo wa Drafti kwa wanawake umemalizika ambapo katika fainali hiyo iliyozikutanisha timu za Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo iliwakilishwa na mchezaji Niuka Chande na timu ya Ofisi ya RAS Morogoro...

SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL

MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.Timu zote zilimaliza pungufu baada ya mchezaji mmoja kila upande kutolewa kwa kadi...