Wanaijeria waandamana wakimtaka Rais Buhari ajiuzulu

Kumekuwa na maandamano katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wakiwa wamebeba mabango yanayomtaka Buhari kuachia madaraka #BuhariMustGo.Maandamano hayo yamefanyika katika siku ya madhimisho ya uhuru.Polisi waliwatawanya waandamanaji hao kwa kufyatua mabomu ya...

Kiongozi wa Kijeshi wa Guinea Aapishwa Kuwa Rais wa Mpito

Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea Kanali Mamady Doumbouya ameapishwa kuwa Rais wa mpito baada ya kuondolewa kwa Alpha Condé.Kiongozi huyu wa jeshi mwenye umri wa miaka , 41, anakuwa kiongozi wa pili mdogo barani Afrika ,akifuatiwa na rais wa Mali, Assimi Goïta,mwenye...

BREAKING NEWS: Mlima Kwaraa Babati waendelea kuteketea kwa Moto

Shughuli za kuzima moto Mlima Kwaraa wilayani Babati mkoani Manyara bado zinaendelea mpaka sasa ikiwa ni siku ya pili toka moto huo ulipozuka siku ya alhamisi jioni.Ukiondoa Mlima Hanang uliopo wilayani Hanang, Mlima Kwaraa ndiyo mlima unaofuata kwa urefu mkoani...

Cheed Afunguka “Hamornize Hakuhusika Kututoa Kings Music”

April 14 mwaka 2020 habari ambayo ilitake over kwenye social Media kibongo bongo ni pamoja na hii ya wasanii tokea Kings Music, @officialcheed na @officialikilly_tz kuondoka kwenye Label hiyo huku sababu hasa wakishindwa kutaja ni zipi. Na baadae wakaibukia Konde...