AZAM FC YAKAMATWA NA POLISI TANZANIA

AZAM FC YAKAMATWA NA POLISI TANZANIA

AZAM FC leo Oktoba 2 imepoteza kwa kufungwa mabao 2-1 baada ya kukamatwa na Klabu ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ushirika, Moshi.Vijana hao wanaonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina walianza kuokota nyavuni bao la kwanza...
VIDEO:MINZIRO ATAJA SABABU YA GEITA GOLD KUFUNGWA NA YANGA

VIDEO:MINZIRO ATAJA SABABU YA GEITA GOLD KUFUNGWA NA YANGA

FRED Felix Minziro, Kocha Msaidizi wa Geita Gold amesema kuwa kilichowafanya leo wakashindwa kupata ushindi mbele ya Yanga ni kukosa utulivu kwa wachezaji wake kwa kuwa walikuwa wanatengeneza nafasi ila wameshindwa kuzitumia. Geita Gold ikiwa Uwanja wa Mkapa leo...

MASALIA MAPYA YA DINOSARIA YAPATIKANA TENDAGURU LINDI

 Kushoto ni Dkt Agnes Gidna akimpatia maelezo Mkuu wa Wilaya wa Lindi Mhe Shahibu Ndemanga (wapili kushoto) kuhusu mfupa wa Dinosaria uliogundulika Tendaguru Lindi. Wapili kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Lindi Mhe Thomas Safari na kulia ni Kamanda wa Polisi...