Maskini Aslay Ndio Wabongo Washamsahau Kabisa..Ni Pigo Kubwa Sana

Mwaka 2018 ,Aslay alikua na jina kubwa sanaa ,ilikua ukitaja Wasanii wakubwa Tanzania lazima nayeye umueke kwenye list!!Aslay ni miongoni mwa Wasanii wenye umri mdogo ,ambao walikua wanaangaliwa na kila mtu, kwani alionyesha kuwa angefika mbali kimuziki.Aslay ni...

ENDELEENI NA UTARATIBU WA KUFANYA MAZOEZI MARA KWA MARA-ULEGA

 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akizungumza na washiriki wa mbio za  Jogging kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na mkoa wa Dar es Salaam baada ya kumaliza kushiriki Joggingl leo kwenye...