MZUNGUKO WA PILI, KIJANA WA MBEYA KWANZA AFUNGA BONGE MOJA YA BAO

MZUNGUKO WA PILI, KIJANA WA MBEYA KWANZA AFUNGA BONGE MOJA YA BAO

 KASI ya kusaka pointi tatu inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo tayari mzunguko wa pili umekamilika na sasa ni hesabu kuufuata ule mzunguko wa tatu ili kujua nani atazidi kuwa nani kwa kuwa mpaka sasa picha linaonyesha kwamba ushindani ni mkubwa na kila...