TFF YAKANUSHA KUMUOMBEA URAIA KIBU

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limekanusha kumuombea uraia mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Dennis Prosper.Taarifa ya TFF imesema si kweli kwamba rais wa shirikisho hilo, Wallace John Karia amesema alimuombea uraia Kibu kwa sababu anahitajika kwa ajili ya timu ya...

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA WAANDAA MAONYESHO YA BIASHARA

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umeandaa maonyesho ya biashara yanayofanyika kuanzia tarehe 4 hadi 8 Oktoba, 2021 katika Kituo cha Biashara cha Wernhil (Wernhil Shopping Mall) kilichopo mjini Windhoek. Maonesho haya muhimu katika utelezaji wa Diplomasia ya Uchumi...

SERIKALI IMEPANGA KUFANYA MABORESHO MAKUBWA BOHARI YA DAWA (MSD)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya shilingi 100,000/= Rukia Said ambeye ni dereva wa mtambo maalum unaotumika katika ujenzi wa barabara (roller) wa Kampuni ya CHIBESHI Construction Company Limited , baada ya Waziri Mkuu kuvutiwa na kazi nzuri...