MANAHODHA WOTE AZAM FC WASIMAMISHWA

KLABU ya Azam FC imewasimamisha wachezaji wake watatu, beki na Nahodha, Aggrey Morris pamoja na Wasaidizi wake, viungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahya kwa kile kilichoelezwa makosa ya utovu wa nidhamu.Taarifa ya Azam FC iliyotolewa na Mkuu wa...

AUDIO | Punch M.I.A – Mr Dont Care | Download

Download | Punch M.I.A – Mr Dont Care [Mp3 Audio] https://dl.soundbykiki.com/uploads/Punch%20M.I.A%20-%20Mr%20Dont%20Care.mp3   The post AUDIO | Punch M.I.A – Mr Dont Care | Download appeared first on DJ...
INGIZO JIPYA YANGA TARATIBU LAZIDI KUIMARIKA

INGIZO JIPYA YANGA TARATIBU LAZIDI KUIMARIKA

 INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2021/22 David Bryson kwa sasa hali yake inazidi kutengamaa kabla kurejea uwanjani kuonyesha makeke yake.Bryson aliibuka ndani ya Yanga akitokea Klabu ya KMC yenye maskani yake pale Kinondoni.Mpaka sasa amekwama...
TAZAMA MAZOEZI YA SIMBA,MORRISON, AJIBU KAMA KAWAIDA

TAZAMA MAZOEZI YA SIMBA,MORRISON, AJIBU KAMA KAWAIDA

WACHEZAJI wa timu ya Simba ambao hawajaitwa kwenye timu za taifa wameendelea na mazoezi leo Uwanja wa Boko kwa ajili ya kujiweka sawa kwa mechi zao zijazo za ushindani ambapo Simba inawakilisha nchi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na pia ina kazi ya kutetea taji la...