Album ya Alikiba yaweka rekodi hii Spotify na Apple music

Ikiwa na masaa 23 tu album ya @officialalikiba THE ONLY ONE KING imeweka rekodi kupitia baadhi ya platfomu ambazo album hiyo imewekwa. Kupitia mtandao wa Spotify imefikisha Streaming mil.1.2 ikiweka rekodi lakini pia ikishika nafasi ya kwanza kupitia mtandao wa Apple...
MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO

MBAPPE AWACHANA MASTAA WENZAKE PSG KIMTINDO

STAA wa Paris Saint Germain,(PSG) Kylian Mbappe ameweka wazi kuwa wanatakiwa kufanya mambo ya pamoja na kushirikiana ili kuweza kufikia mafanikio lakini kama itakuwa tofauti na hivyo timu hiyo itakwama kufikia malengo hayo licha ya uwepo wa nyota wakubwa kama Lionel...

Uingereza Yaiondoa Tanzania Kwenye Orodha ya Nchi Hatarishi

Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali ya Uingereza imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7-Waziri wa Usafirishaji nchini humo, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza...

TAASISI YA OCEAN ROAD YAPOKEA MSAADA WA VITANDA VIWILI VYA UMEME

  Naibu waziri wa Fedha wa nchini Czech, Karel Tyll akikata utepe mara baada ya kuwakabidhiTaasisi ya Kansa ya Ocean Road  msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio...