Jamaa Anaswa Akichepuka na Mke wa Mtu, Afungwa Kwenye Gunia

Kisanga cha aina yake kimezuka katika eneo moja mjini Embu nchini Kenya baada ya jamaa kufungwa kamba miguuni na kutiwa ndani ya gunia hadi alipe faini baada ya kufumaniwa akichepuka na mke wa rafiki yake. Taarifa kutoka nchini humo zimearifu kwamba jamaa huyo alikuwa...

Muna Love atishia Kujicharanga Mwili mzima

MWIGIZAJI wa Bongo Movies na mfanyabiashara, Rose Nungu almaarufu Muna Love anasema kuwa, anaona baadhi ya watu wamezidi kumshambulia kuhusiana na kujifanyia upasuaji sehemu mbalimbali za mwili wake, lakini ametishia kuwa ni bora wakanyamaza kwa sababu anaweza...
AZAM FC TAYARI KWA AJILI YA KUMALIZANA NA WAARABU

AZAM FC TAYARI KWA AJILI YA KUMALIZANA NA WAARABU

 KUELEKEA mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi Pyramid kutokea Misri, uongozi wa Azam FC umetamba kuwa unatambua ubora wa wapinzani wao, lakini upo tayari kwa ajili ya kupambana kwenye mchezo huo.Azam wanatarajiwa kuvaana na Pyramid Oktoba 16,...