EALA WAKUTANA MKUTANO WA KWANZA JIJINI ARUSHA

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) Mhe. Martin Ngoga akifungua Mkutano wa Kwanza, Kikao cha tano, Bunge la nne ulioanza leo Jijini ArushaNaibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb)...

SENEGAL YATANGULIZA MGUU MMOJA QATAR

MSHAMBULIAJI wa Alanyaspor ya Uturuki, Famara Diédhiou amefunga mabao yote matatu, Senegal ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji wahamiaji, Namibia katika mchezo wa Kundi H leo Uwanja wa Orlando Stadium Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.Mpachika mabao huyo wa...