HIFADHI YA TAIFA NYERERE YASIFIKA KUWA NA TWIGA WENGI ZAIDI 

Mmoja wa wanyama aina ya twiga akiwa katika malisho kwenye Hifadhi ya Taifa Nyerere. Baadhi ya Watalii wakiwasili katika uwanja wa Mtemere katika Hifadhi ya taifa Nyerere. Baadhi ya watalii wa kigeni wakipanda magari maalumu ya kuwatembeza watalii kwaajili ya...

BODI YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA

BODI ya Ligi ya Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mechi ya Ligi Kuu baina  ya mabingwa watetezi, Simba SC na Polisi Tanzania uliokuwa ufanyike Oktoba 20 hadi Oktoba 27.Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo amesema hatua hiyo imefuatia barua ya Simba SC...

RAIS SAMIA AWAAHIDI JAMBO TWIGA

RAIS WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan jana alizungumza kwa simu na wachezaji wa taifa ya wakubwa ya wanawake, Twiga Stars na ya wasichana chini ya umri miaka 20, Tanzanite na kuahidi kuwafanyia jambo akirejea Dar es Salaam.Mama Samia...