HIFADHI YA MTO IGOMBE UYUI YAMEGWA KUBAKISHA VIJIJI 12

Na Munir Shemweta, WANMM UYUISerikali imetoa sehemu ya ardhi ya hifadhi ya Mto Igombe (Igombe River) kwa ajili ya wananchi wa vijiji 12 vilivyopo kwenye wilaya ya Uyui mkoani Tabora.Utoaji sehemu ya ardhi hiyo ni muendelezo wa hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan...