MBUNGE AUAWA KWA KUCHOMWA KISU

Mbunge wa chama cha conservative nchini uingereza Sir David Amess amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu katika eneo bunge lake huko Essex.Polisi walisema mwanamume mwenye umri wa miaka 25 alikamatwa kwa tuhuma za mauaji baada ya shambulio hilo katika kanisa huko...

SAKHO, MUGALU WAACHWA SIMBA SAFARI YA BOTSWANA

KIUNGO Msenegal, Pape Ousmane Sakho na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mutshimba Mugalu hawamo kwenye orodha ya wachezaji 23 wa Simba wanaosafiri kwenda Botswana.Simba SC inakwenda Botswana kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

SAKHO, WAACHWA SIMBA SAFARI YA BOTSWANA

KIUNGO Msenegal, Pape Ousmane Sakho na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mutshimba Mugalu hawamo kwenye orodha ya wachezaji 23 wa Simba wanaosafiri kwenda Botswana.Simba SC inakwenda Botswana kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

MAJALIWA: TANAPA, WADAU WA UTALII SHIRIKIANENI KUITANGAZA RUBONDO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakifurahia samaki waliyemnasa wakiwa katika ziara fupi ya kuhamasisha utalii katikaHifadhi ya Kisiwa cha Rubondo kilichopo ziwa Victoria Wilaya ya Chato Mkoani Geita Agosti 14, 2021.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akivua samaki...