CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND

BAO pekee la beki wa kimataifa wa England, Ben Chilwell dakika ya 45 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brentford Uwanja wa Brentford Community, Brentford, Middlesex.Kwa ushindi huo kwenye mchezo ambao kipa Msenegal, mzaliwa wa Ufaransa, Edouard Mendy...