EVERTON KIMOKO TU CHALI

 Everton wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Goodison Park wamekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya West Ham katika mchezo wa Ligi kuu ya Uingereza (EPL). Hiyo inakuwa mechi ya pili kupoteza katika mechi 8 walizocheza msimu huu, huku wakishinda mechi 4 na kutoka sare...

KILAVE JIMBO CUP 2021 YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

Michuano ya Ligi ya Soka ya Kombe la Mbunge wa Jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, Dorothy Kilave (Kilave Jimbo Cup 2021) imeanza kutimua vumbi leo baada ya kuzindulwa na Mbunge huyo katika Uwanja wa Sigara (TCC) au Gwambina Longe Chang’ombe. Akzungumza katika...

Jinsi Ya Kuangalia Matiti Ya Mwanamke Kama Gentleman

 Kabla tuendelee… Je kuangalia matiti ya mwanamke ni tabia mbaya? Kwa wengine watasema haifai, wengine watasema ni ukosefu wa heshima. Lakini wanasayansi wanasema ni jambo zuri kuangalia matiti ya mwanamke kwa kuwa ni kama kufanya mazoezi ya aerobics kwa...

Elimu ya kilimo hai itapunguza changamoto ya soko la mazao

Na Amiri Kilagalilka,NjombeKilimo hai au Organic farming ni aina ya kilimo ambacho huzingatia matumizi endelevu ya rasilimali za mazao ya kilimo pamoja na mifugo,Kilimo hiki hutumia mbolea isiyotengenezwa viwandani na ni aina ya kilimo ambacho huzingatia utunzaji wa...