MTOTO WA DARASA LA TATU AOLEWA KWA MAHARI YA NGURUWE MMOJA

Mkazi wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa la tatu baada ya kulipa mahari ya Sh. 330,000 pamoja na nguruwe mmoja.Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa),...