Askofu Sangu Akutana Na Waganga Wa Kienyeji Gamboshi

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu amekutana na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala katika kijiji cha Gamboshi wilayani Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ikiwemo kuhamasisha maendeleo, imani, pamoja na...

Genge la majambazi wa Nigeria lakamatwa Afrika Kusini- ripoti

Vyombo vya sheria vya Afrika Kusini na Markani vimewakamata wanachama sita wa genge la majambazi wa Black Axe huko Cape Town, tovuti ya habari ya TimesLive inaripoti.Kundi hilo , linaaminika kuhusika na mamia ya “Matapeli wa mapenzi”, liliripotiwa kukamatwa katika...

Hanstone Kama Rich Mavoko, Wana Mkataba wa Maisha Pale WCB

Chawa Pro Max, @officialbabalevo ameleak kilicho nyuma ya zile rumors za hivi karibuni kuhusu kinachoendelea kati ya Hanstone na uongozi wa WCB. B Levo amedai ilibidi Hanstone awe ametoka mwezi wa 5 mwaka huu ila akajifelisha mwenyewe.Kwa mujibu wa Baba Levo ni...

Hakuna nyufa Uwanja wa ndege Chato

 Kufuatia tuhuma zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mipasuko iliyo katikakati ya barabara ya kuruka na kutua ndege kwenye uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani Geita, taarifa hizo hazina ukweli wowote na wananchi wameombwa kuzipuuza kwani uwanja huo bado...

MCHAWI MKUU WA SERIKALI AFUKUZWA KAZI…NI YULE BINGWA WA KUROGA

Vifaa ya uganga Mchawi Mkuu wa Serikali ya New Zealand, Ian Brackenbury Channell ambaye ndiye mchawi pekee duniani aliyekuwa akilipwa mshahara na serikali, amefukuzwa kazi kufuatia matamshi yake aliyoyatoa ambayo yanadaiwa kuwadhalilisha wanawake.Brackenbury mwenye...