TANZANIA INA WATU MILIONI 2.4 WENYE TATIZO LA KUTOKUONA

WAZIRI wa Afya,Mandeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Dkt.Dorothy Gwajima,akizungumza kwenye hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya afya ya Macho Duniani,pamoja na uzinduzi wa mwongozo wa kufundishia afya msingi na upokeaji wa taarifa ya Dunia kuhusu Uoni...

RAIS SAMIA KUPAMBA KILELE CHA UWT RUFIJI MKOANI PWANI

  Na Khadija Kalili KibahaRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Samia Suluhu Hassan  atakuwa mgeni  rasmi  katika kilele cha  maadhimisho  ya Jumuiya ya  Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi  (UWT )...