WANANCHI MIHAMBWE WAJITOKEZA KUIUNGA MKONO SERIKALI

Na Mwandishi wetu MihambweWananchi wa Tarafa ya Mihambwe wamejitokeza kwa wingi kuiunga mkono Serikali kwenye hatua ya ujenzi wa vyumba vya madarasa yanayotokana na fedha za mpango wa maendeleo na ustawi wa jamii  dhidi ya mapambano ya uviko 19.”Namshukuru...

BITEKO ARAHISISHA BIASHARA YA MADINI ULANGA

Ulanga yaainisha fursa za uwekezaji Sekta ya MadiniNa Steven Nyamiti-WMWaziri wa Madini,  Doto Biteko ameiagiza Tume ya Madini kuanza kutoa vibali vyote vya madini kwa wafanyabiashara wa madini katika eneo la Mahenge Ulanga ili kuondoa usumbufu wa kusafiri umbali...

BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA

TIMU ya Biashara United ya Mara imekwama kwenda Libya kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Al Ahli Tripoli uliopangwa kufanyika kesho Jijiki Benghazi. Biashara United iliyoshinda 2-0 kwenye mechi ya kwanza...

RMO MANYARA AITOA HOFU JAMII NA CHANJO YA UVIKO-19

Na Joseph LyimoMGANGA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, (RMO) Dkt Damas Kayera amewataka wananchi wa eneo hilo kujitokeza na kuchanja chanjo ya kujikinga na maambukizi ya Uviko-19 na kuachana na dhana potofu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.Dkt Kayera ameyasema hayo...