Serikali yaombwa kuondoa baadhi ya tozo kwenye elimu

Na Upendo Mosha,Moshi WADAU wa Elimu, ikiwemo Taasisi za dini katika Mkoa wa Kilimanjaro, wameiomba serikali kuondoa baadhi ya tozo na kodi ambazo zimekuwa changamoto katika shule hizo, hatua ambayo itawasaidia kuendeleza juhudi za serikali katika utoaji wa huduma ya...

Prof. Mkenda: Serikali imetenga Bilioni 2.2 kwa ajili ya mbegu

Na Ramadhan Hassan, Dodoma WAZIRI wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imetenga Sh bilion 2.2 kwa ajili ya kuandaa mbegu za alizeti ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta nchini ambapo amedai mbegu hizo zitauzwa kwa Sh 3,500 kwa kilo. Akizungumza...

Ndugai: Msikubali kutumika na wasioitakia mema Tanzania

Na Ramadhan Hassan,Dodoma SPIKA wa Bunge Job Ndugai amezitaka asasi za kirai zisikubali kutumika na watu wasio na mapenzi na Nchi huku akidai Bunge limetunga Sheria kwa lengo la kuwabana watu wenye nia tofauti na malengo ya Serikali ili kuweza kusimamia kwa ufanisi...

Wadau wa mbegu nchini waiomba Serikali kufanya marekebisho ya sheria

Na Christina Gauluhanga, Mtanzania Digital WADAU wa mbegu nchini wameiomba Serikali kufanya marekebisho ya sheria ya mbegu ya mwaka 2010/2014 ili kuondoa mapungufu yaliyopo kwa sasa. Hayo yameelezwa leo mjini Dodoma wakati wadau wa kilimo zaidi ya 300 walipokutana na...

Fedha za IMF siyo za kulipana posho-Ndalichako

Na Ramadhan Hassan,Dodoma WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewatahadharisha kuwa fedha zilizotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hazihusishi ulipanaji wa posho ya aina yoyote na viongozi wa taasisi zinazohusika na kwamba yeye...