African Lyon wajipange Vs Simba kombe la Shirikisho- Abbas Pira (+Video)

Mabingwa wa Nchi Simba SC leo hii wameapa kumteketeza African Lyon baada ya kuyachanua makucha yake mbele ya vigogo wa Afrika klabu ya Al Ahly ya Misri. Abbas Pira ameuangazia mchezo huo ambao wadau wengi wa soka wanaamini Lyon atakuwa na kibarua kizito cha kujitetea mbele ya Mnyama kwenye mchezo huo muhimu wa Shirikisho. #ASFC

The post African Lyon wajipange Vs Simba kombe la Shirikisho- Abbas Pira (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Previous Entries Job Opportunity at Bolt, Operations Coordinator Next Entries Wapiga Debe 30 Wakamatwa Stendi Mpya iliyoko Mbezi Luis