AT: Alikiba ni rafiki yangu ila sio kikazi, tumekuwa kama ndugu (+ Video)

Staa wa muziki wa Mduara #AT ameweka wazi na kuwatahadharisha watu wanaoongea mtandaoni kwamba #Anjella amemponda #Zuchu kwenye ngoma yake mpya ya #Sio Saizi yako na kusema kuwa anawaomba watu waache kuwapambanisha.

Mbali na hilo #AT

amefafanua ukaribu wake na Alikiba ambao ni muda sasa ingawa hawakuwahi kufanya ngoma mpja licha ya kuwa na ukaribu lakini hakuwahi kufanya ngoma na Alikiba. Pia amezungumzia watu walivyokuwa wakimwambia kuwa #Harmonize ana roho mbaya na ana kiburi na baada ya kukutana anye alivyompokea ni tofauti.

The post AT: Alikiba ni rafiki yangu ila sio kikazi, tumekuwa kama ndugu (+ Video) appeared first on Bongo5.com.

Previous Entries Job Opportunity at Bluewings International, Office Assistant Next Entries Chief Executive Officer (CEO) at NICOL