Kiongozi wa klabu ya Biashara United ya Mara Seleman Mataso Mwenyekiti wa Biashara akieleza baadhi ya Changamoto walizokutana nazo mpaka kupelekea timu yao kushindwa kusafiri kwenda nchini Libya katika mji wa Bengazi kwa ajili ya mchezo wao wa Marudiano.

Bofya hapa chini kumsikiliza Mwenyekiti wao akiongea.

 

https://www.instagram.com/p/CVXG1ZqDhFK/

The post Biashara waeleza changamoto walizokutana nazo kutokwenda Libya (+Video) appeared first on Bongo5.com.