Bilionea GSM Afanikiwa Kuwanyamazisha Simba

Ushindi wa bao 1-0 wa Yanga dhidi ya Simba na kutwaa Ngao ya Jamii ni ishara kuwa Bilionea wa Yanga Ghalib Said Mohamed sasa amekarika na kuamua kuwanyamazisha Simba.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Kitendo cha kuwakodia Yanga ndege na kwenda Nigeria na kuwasubiri katika mchezo wake dhidi ya Rivers wa Klabu Bingwa Afrika kimetafsiriwa kuwa safari hii GSM ameamua haswa.
Ushindi wa leo umedhihirisha hilo kuwa sasa GSM hataki mchezo na msimu huu ni msimu wa mataji kwa Yanga.
Previous Entries New Jobs JESHI LA POLISI Tanzania | New Job Opportunities at Tanzania Police Force Released 21st September 2021 Next Entries Ali Kamwe "Simba Waliuza CHAMA wakanunua MABASI, Mambo 10 Nilioyaona Simba vs Yanga"

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.