BREAKING: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Yatanganza Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Tanzania

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC) nchini Tanzania imesema, Uchaguzi Mkuu wa udiwani, ubunge na Urais wa Tanzania utafanyika Jumatano Oktoba 28, 2020.
 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Jumanne tarehe 21 Julai 2020, Mwenyekiti wa NEC, Semistocles Kaijage amesema Uchaguzi mkuu utafanyika October 28 Mwaka huu huku Kampeni zikitarajiwa kuanza August 26 hadi October 27, 2020.

Wakati huo huo Uteuzi wa Wagombea wa kiti cha Urais,Makamu wa Rais, Ubunge na Udiwani utafanyika August 25, 2020

Previous Entries Fahamu Wanawake Wenye Hips naShida Wanazokabiliana Nazo Kila Siku!L Next Entries Profesa Jay Hataki Mchezo Kabisa Kwenye Suala la Ubunge Atuma Ujumbe Nzito CCM