KIMANTA-VIONGOZI TUTEKELEZE MAONO YA RAIS

Na Woinde Shizza, Michuzi TV, ARUSHAVIONGOZI wa Mkoa wa Arusha wametakiwa kuhakikisha wanatekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuhakikisha usafiri wa Treni unafiki katika Mkoa wa Arusha kwa usalama.Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha...

KATIBU MKUU ALAT FAGILIA MIRADI YA MAENDELEO

Mhandisi Majengo Jiji la Mwanza, Tunaye Mahenge (kushoto) akimueleza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Serikali Mitaa Tanzania (ALAT) Elirehema Kaaya (kulia) changamoto ya mkondo wa maji kwenye eneo la mradi wa ujenzi wa wodi ya wanaume katika Hospitali ya Nyamagana...

MABULA AWATAKA WATENDAJI ARDHI KUTOA ELIMU YA SHERIA MPYA YA FEDHA

Na Munir Shemweta, WANMM KAGERANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka idara za Ardhi katika halmashauri nchini kutoa elimu kwa wamiliki wa ardhi kuhusu sheria mpya ya fedha inayowataka wamiliki waliokamilisha taratibu zote za...

Wagombea Vyama 16 Wachukua Fomu za Urais NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa fomu za uteuzi kwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa vyama kumi na sita (16) vya siasa.Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma jana tarehe 11 Agosti 2020, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Dkt. Wilson Mahera...