WAZIRI MKUU AIPONGEZA BRELA KWA KUBORESHA HUDUMA ZAKE

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Wakala ya Bishara na Leseni (BRELA) kwa kuboresha huduma zake.Haya yamejiri leo Julai 3, 2020 alipotembelea banda la BRELA la maonesho ya Sabasaba kwenye Viwanja vya maonesho vya Mwl. Julius...

INTRODUCING “NIVUSHE” BY IRENE ROBERT

Baada ya kuachia wimbo wa Vilevile, Staa wa Muziki wa Injili anayekuja juu kwa Kasi Irene Robert amekuletea wimbo wa kutia moyo uitwao Nivushe, wimbo ambao umerekodiwa na kushutiwa kwa viwango vya juu sana. Tazama Video hapa chini