Kwisha Habari yake..China Yachukua Uwanja wa Ndege wa Entebe

Benki ya China, Exim Bank imechukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa #Entebbe na mali nyingine za Uganda baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Dola milioni 207(Tsh. Bilioni 476.7)Mkopo huo ulikuwa unaiva ndani ya miaka 20 huku ukiwa na kipindi cha matazamio cha miaka 7....

Mayele, Bangala Wamvuta Nahodha TP Mazembe Jangwani

KIWANGO wanachokionesha mastaa wapya wa Yanga kutoka DR Congo, Fiston Mayele, Yannick Bangala, Jesus Moloko, na Djuma Shaban kimemuibua nahodha wa zamani wa TP Mazembe, Yannick Tusilu na kuwapigia saluti.Tusilu ambaye kwasasa anakipiga nchini, katika klabu ya DTB...

KIMENUKA..Anaswa na Nyara za Serikali, yamo Mafuta ya Simba

Katavi. Jeshi la polisi mkoa wa Katavi linamshikilia mkazi wa Ilunde wilaya ya Mlele, Seda Mbutula (47) kwa tuhuma za kupatikana na nyara za Serikali ambazo ni mafuta ya Simba na ngozi yake akiwa amezificha kwenye mfuko nyumbani kwake.Mbali na Nyara hizo za Serikali...

Pablo Awaduwaza Mastaa Simba Kuwapa Mazoezi Kidigital

YANGA, Azam, Biashara zote maji yalizidi unga. Simba ndiyo klabu pekee ya Tanzania iliyosalia kimataifa na Kocha Pablo Franco amewaduwaza mastaa wake kwa kuwafundisha kidigitali zaidi.Wamepiga tizi la maana wiki hiii na sasa wako fiti kukiwasha Jumapili dhidi ya Red...