Simbachawene Awaonya Manabii, Mitume

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amewaonya manabii na mitume kuacha kutoa huduma hizo kama hawako chini ya taasisi iliyosajiliwa na Serikali na watakaokaidi wasije wakalalamika kwa yatakayowakuta.Simbachawene ameyasema hayo leo...

RC Makalla Ampongeza Haji Manara

 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amempongeza msemaji wa Yanga Haji Manara kwa tamko lake la kuunga mkono kampeni ya usafi ya mkoani Dar es Salaam.RC Makalla ameyasema hayo wakati wa kikao cha watendaji wa mitaa na Kata kilichokuwa na lengo la...

Samatta azaliwa upya, Antwerp yamuangusha EUROPA

Mshambuliaji na Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameifungia timu yake ya Royal Antwerp bao dakika 88’ na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Eintranch Frankfurt usiku wa jana kwenye michuano ya Ligi ya Europa.Sare hiyo imeifanya Royal Antwerp iwe na alama 2 tu...