Corona kuizuia Kaizer Chiefs kuingia Morocco

Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Wydad Casablanca dhidi ya Kaizer Chiefs haiwezi kuchezwa nchini Morocco kwa sababu mamlaka za nchi hiyo kuzuia.
Mamlaka nchini Morocco zimezuia kutoa Visa kwa timu ya Kaizer Chiefs kutokana na sheria mpya za Corona zilizowekwa nchini humo kutoruhusu raia wa Afrika Kusini kuingia nchini kwao sababu ya kuwa na idadi kubwa ya Maambukizi.
Shirikisho la soka nchini Morocco limeiomba CAF iahirishe mchezo huo au iupange uchezwe katika nchi nyingine.
Previous Entries VIDEO Kassim Mganga – ZAFARANI Next Entries WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA USAFI NA KUNAWA MIKONO KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YASIYO YA KUAMBUKIZA